VIDDEO: Bakwata watoa tamko nzito baada ya mtumishi kuchana Quran hadharani


Baraza la Waislam Tanzania (Bakwata) limetoa tamko kuhusiana na kitendo kilichofanywa na kijana alijulikana kwa jina la Daniel Malaki Elimringi ambapo amechana chana na kukitemea mate kitabu cha Quran tukufu huko eneo la Uzunguni wilayani Kilosa mkoani Mororogoro.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE