Kiongozi wa Dini Kutoka Mkoani Njombe Aldo Sanga amesema kuwa baadhi ya watu wanaojiita manabii ikiwemo Komando Mashimo ni sawa na waganga wa kienyeji kwasababu unabii unatakiwa kutolewa kabla ya Kutokea Siyo baada ya Kutokea hivyo wanadanganya watu huku akimpa na mifano ya maandiko
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
