Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema linamshikilia mwanaharakati huru hapa nchini Cypirian Musiba, baada ya jana kuita vyombo vya habari na kutoa taarifa kuwa Kuna watu wamepanga kumuua na wanamtafuta kwa njia mbalimbali, jeshi la polisi limemtaka mwanaharakati huyo alieleze jeshi la polisi undani wa taarifa hizo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
