VIDEO: Rais Magufuli amfuta kazi aliyechana Qur an hadharani


Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Februari 11 ametangaza kumfuta kazi mtumishi wa halmashauri ya Kilosa Daniel Malak ambaye alichana kitabu cha Qur an tukufu.

''Leo nafukuza kazi hatuwezi kukaa na wafanyakazi wapumbavu katika serikali hii ashinde kesi, asishinde huyu siyo mfanyakazi wa serikali'' Rais Magufuli

Kwa sasa Malak anashikiliwa na jeshi la Polisi huko mkoani Morogoro.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items