VIDEO: Serikali yatakiwa kuwakumbuka wakulima


Balaza la madiwani wilayani Biharamulo mkoani Kagera wameuomba uongozi wa halmashauri kuhakikisha wanawataftia masoko ya zao la tumbaku wakulima ili halmashauri iweze kukusanya ushuru wa kutosha na kuongeza pato lake. huku wakiitaka kuhakikisha inaleta pembejeo za kilimo kama vile mbolea na dawa za kuzuia wadudu ili mkulima aweze kulima na kuzalisha kwa tija tofaui na sasa ambapo mkulima analima kwa ajiri ya chakula tu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items