Watumiaji na wasambazaji wa mifuko inayoingia njia za panya kukiona

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amewatahadharisha Watanzania kuwa makini pamoja na kutotumia mifuko ya plastiki inayoingia nchini kinyume cha sheria.

Zungu ameeleza hayo wakati wa uzinduzi wa Wilaya mpya ya Kigamboni huku akisisitiza kuwa watumiaji na wasambazaji wa mifuko hiyo inayoingia kwa “njia ya panya” watachukuliwa hatua za kisheria.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items