VIDEO: Sheikh Kishki aibuka baada ya mtumishi kuchana Qur-an tukufu


Sheikh Nurudeen Kishki amelipongeza Baraza la waislaam Tanzania (Bakwata) na Serikali kwa hatua waliyoichukua baada ya mtumishi mmoja wa serikali kuchana na kutemea mate Qur-aan tukufu eneo la Uzunguni wilayani Kilosa mkoani Morogoro.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE