VIDEO: Tetesi za soka leo Februari 20


Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa bado anaumiza kichwa kuitambua falsafa ya mshambuliaji wake Yikpe  ndani ya kikosi chake ili kujua hatma yake ndani ya kikosi.
Amekuwa akifunga mabao ambayo hayafurahishi kuyatazama kwani hana mbinu mpya zaidi ya ile ambayo ameizoea siku zote kufunga kwa vichwa, kwangu mimi sitazami aina ya ufungaji bali jitihada zake za kuipa ushindi timu

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items