Mabingwa wa kihistoria Yanga SC wamemtambulisha Carraca Antonie Domingoz Pinto atakaye fanya kazi ya kuishauri klabu hiyo wakati wakiwa katika mchakato wa mabadilikoya mfumo wa uendeshaji wa Yanga.
Pinto aliwahi kuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Benfica ya Ureno kwa takribani miaka 10
TAZAMA FULL VIDEO CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
