F Yanga yazidi kutakata | Muungwana BLOG

Yanga yazidi kutakata

Pambano limemalizika, Yanga imefanikiwa kuchukua pointi zote tatu kwenye Uwanja wa taifa dhidi ya Lipuli FC.

FT: Yanga SC 2-1 Lipuli FC.