Magaidi wawili wauawa katika opersheni Kaskazini mwa Irak, Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi wawili wa kundi la PKK katika operesheni ilioemdeshwa Kaskazini mwa Irak.
Jeshi la anga limeshirikiana na jeshi la ardhini kuwashambulia magaidi wa kundi la PKK na kuwaangamiza magaidi hao.
Taarifa iliotolewa na wizara ya ulinzi ya Uturuki imefahmisha kuwa operesheni kali imeendeshwa katika kitongoji cha Zap Kaskazini mwa Irak.
Katika taarifa hiyo imefahamishwa kuwa magaidi wawili wa PKK wameangamizwa katika operesheni ya anga .
Operesheni dhidi ya ngome za magaidi mipakani mwa Uturuki zitaendelea imefahamisha wizara ya ulinzi ya Uturuki.