Nyumbani Shanghai Shenhua yampa ofa Odion Ighalo byMuungwana Blog 2 -3/26/2020 06:00:00 PM 0 Klabu ya Shanghai Shenhua ya China imetoa ofa ya kumuongezea mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya paundi 400,000 mshambuliaji wake Odion Ighalo (30) ambaye anacheza kwa mkopo Manchester United. Facebook Twitter