VIDEO: Makonda ataja kinachokwamisha kasi ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi Mbagala


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala inayogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 200 ambapo amemtaka Mkandarasi wa Mradi huo kuongeza kasi ili mradi ukamilike na kupunguza kero ya usafiri kwa wananchi wa Mbagala.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items