VIDEO: ''Jeshi likizuia , ukitumia nguvu tutatumia nguvu zaidi''Jonathan Shana


Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Jonathani Shanna amefafanua kuhusu wandishi wa habari watatu ambao walikuwa wamefika katika hoteli ya Themi Valley ambayo alikuwa Mgonjwa wa Kwanza wa korona ambapo wandishi hao walipofika eneo hilo wakati wanaendelea kutafuta habari waliwekwa chini ya ulinzi na kunyanganywa simu na kupelekwa makao makuu ya polisi ambapo kamanda shanna amelezea lengo la kukamatwa ambapo kwasasa wako huru

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items