Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema tayari amewaelekeza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanatenga maeneo maalumu ya kuwahifadhi watu wote wanaotoka nje ya Nchi (karantini) ili wakae chini ya uangalizi kwa muda wa siku 14 huku akiwahimiza wananchi kuendelea kuchukuwa tahadhari/dhidi ya Virusi hivyo vya Corona.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
