Loading...

3/23/2020

Watumishi watano wa TRC wafariki kwenye ajali ya treni

Watu watano watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia katika ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na kiberenge  kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda.

Ajali hiyo imetokea jana na majeruhi mmoja anaendelea na matibabu katika hospitali ya Wilaya Korogwe.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger