CCM yashtushwa na kifo cha Mama Rwakatare, watuma salamu za rambirambi
byMuungwana Blog 5-
0
Chama cha mapinduzi CCM kimepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha ndg. Getrude Rwakatare ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Morogoro kwa tiketi ya chama cha mapinduzi.