Rostam Aziz agawa vitakasa mikono kwenye daladala


Mfanyabiashara Rostam Aziz, ameanza kugawa vitakasa mikono kwenye daladala za Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni juhudi za kuunga mkono mapambano dhidi ya CoronaVirus

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items