CORONA: Tanzania wagonjwa wapiya 84, Znz 16 Jumla 254

Wizara ya Afya imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya 84 wenye maambukizi ya Virusi vya Corona nchini. Kati ya hawa, wagonjwa 16 walitolewa taarifa na Wizara ya Afya Zanzibar leo Aprili 20, 2020.

Ongezeko la wagonjwa wapya linafanya idadi ya watu waliopata maambukizi ya Corona kufikia 254 kutoka wagonjwa 147 waliotangazwa 27 Aprili 2020.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items