Rais Trump asema kwamba yupo tayari kuisaidi Iran

Rais wa Marekani Donald Trump asema kuwa yupo tayari kuisaidia Iran kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona.

Donald rump , rais wa Marekani asema kuwa yupo tayari kuisaidia Iran iwapo ÅŸtahitaji  msaada.

Katika mkutano na wanahari ulioandaliwa ikulu White House, rais Trump amefahamisha kuwa hatua kubwa  katika mapambano dhidi ya virusi vya corona imefikiwa .

Rais wa Marekani amesema kwamba  yupo tayari kuisaidia Iran  katika mapambano dhidi ya virusi vya corona  iwapo Iran itahitaji msaada.

Hayo rais Trump ameyazungumza katika mkutano huo ulioandaliwa ikulu,  Katika mkutano huyo rais Trump amezungumzia kuhusu majadiliano na wanachama wa demokrati kuhusu kiwa cha dola bilioni 450 kwa ajili ya hospitali za vijijini.

Akizungumza kuhusu Iran, Trump amesema kwamba yupo tayari  kuisaidia iwapo itahitaji msaada  na kusema kuwa  Iran imeathirika kwa kiasi kikubwa na virusi vya corona ila inatangaza idadi isiokuwa ya kweli ya watu walipoathirika na kufariki. 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items