Wizara ya Afya Kenya imesema Watu wengine 11 wamebainika kuwa na corona nchini humo na kufanya idadi ya visa vya corona kufikia 281, wagonjwa wengine wawili wamepona na kufanya idadi ya wagonjwa wa corona waliopona Kenya kufikia 69, vifo bado vimebaki 11.