Masanja ajisalimisha kwa DC Katambi

Mchekeshaji maarufu hapa nchini Tanzania Masanja Mkandamizaji ameitikia wito na  tayari amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

Wito wa mkuu wa wilaya ya Dodoma  Patrobas Katambi, ulitolewa jana ambapo  Katambi alimtaka Masanja kujisalimisha ofisi ya DC au Polisi kwa mahojiano bada ya kuwahoji Watu Dodoma kuhusu corona.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items