Uturuki yaunga mkono juhudi za kuundwa kwa serikali mpya nchini Irak

Msemaji wa waziri wa mambo ya nje wa Uturuki afahamisha kuwa Uturuki inaunga mkono juhudÅŸ za kuundwa serikali mpya nchini Irak.

Hami Aksoy, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Uturuki inayoongozwa na Mevüt Çavuşoğlu amefahamisha kuwa Uturuki inaunga mkono juhudi za kuunda serikali mpya nchini Irak.

Aksoy ameulizwa na wanahabari kuhusu serikali mpya nchini Irak, msemaji huyo wa wizara ya mambo ya nje amesema kuwa  juhudi za kuunda serikali hiyo nchimi Irak zipo muda mrefu na  kunahitajika ushirikiano ili  viongozi wa taifa  hilo kufikia katika hatua nyingine ambayo ni kuundwa kwa serikali mpya.

Katika juhudi hizo za kuunda serikali mpya nchini Irak, rais Salih  amemteua  mkurugenzi wa idara ya upelelezi Mustafa Kazım kuwa waziri mkuu.

Mustafa Kazım ameteuliw akunda serikali mpya nchini Irak.

Uturuki imefahamisha kupitia msemaji wa wizara ya mambo ya nje kuwa inaunga mkono  juhudi za kuundwa kwa serikali mpya nchin Irak.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items