Nyumbani Wagonjwa wa Corona 15 wapya Zanzibar jumla Wafika 98 byMuungwana Blog -4/24/2020 06:31:00 PM 0 Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la Wagonjwa wapya 15 wa corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 98 kutoka 83. Taarifa hiyo imesema wagonjwa wote ni Raia wa Tanzania (Unguja 10 na Pemba watano). Facebook Twitter