VIDEO: Kauli ya Masanja baada ya kuhojiwa na DC


Mara ya hapo jana kuenea kwa taarifa za mchekeshaji maarufu hapa nchini Emanuel Mgaya [masanja mkandamizaji] kutakiwa kuripoti kwa mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi ili kujieleza hivi leo ameripoti na kuhojiwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items