VIDEO: Ilala yapata msaada wa vifaa vya kupambana na Corona


Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam, Omary Kumbilamoto amepokea msada wa sabuni na Sanitize wenye thamani zaidi ya shilingi milioni 8 kutoka kwa Jumuiya ya Khoja Shia Ithna-Asheri kwa ajili ya manispaa hiyo ili kusaidi kupambana na janga la Corona ambalo ni tishio duniani kwa sasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items