VIDEO: RC Gambo ahamishia ofisi yake sokoni


Serikali mkoani Arusha imehamia kwenye soko la Samunge lililoungua mwishoni mwa wiki kwa lengo la kuhakikisha kila mfanyabiasha anapata eneo lake pamoja na kuona uwekaji sawa wa miundombinu na ugawaji wa maeneo ndani ya soko hilo.

Akiongea kwenye hadhara hiyo Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo alieambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa tokea Asubuhi ya Leo amesema kuwa atahakikisha kila mfanyabiashara aliekuwepo kwenye soko hilo anapata eneo la kufanyabiashara.\

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items