VIDEO: Reli inayounganisha mkoa wa Katavi na Tabora yasombwa na maji
byMuungwana Blog 2-
0
Kufuatiwa mvua zinazo endelea kunyesha mkoani tabora zimesababisha wakazi wa tabora kwenda mpanda kushindwa kusafiri kwa kutumia treni kutokana na njia hiyo kuhalibiwa vibaya na mto ugara ulio mpakani mwa tabora na katavi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE