Wanachama wa klabu ya Yanga Babati mkoani Manyara wamesema kwa sasa wanapisha ugonjwa wa Corona upite wafungue ofisi yao ya kisasa ambayo makao makuu yake yatakuwa mjini Babati.
Mwenyekiti wa Klabu hiyo Mkoani humo Jumanne Machumu (J4) amesema klabu hiyo imesemwa sana na watani zao Simba kuhusu kuwa na ofisi na sasa wanataka kuwaonyesha kuwa uwezo wanao na kwamba Simba tawi la Manyara ofisi yao ni kama kibanda umiza.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI USISAHAU KUSUBSCRIBE
