Vifo vya corona Kenya vyafikia 14

Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine wawili wa corona wamefariki Dunia na kufanya jumla ya waliofariki kwa corona Kenya kufikia 14, wagonjwa wengine saba wamepona na inafanya idadi ya wagonjwa wa corona waliopona Kenya kufikia 67.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items