Japan yakumbwa na tetemeko la ardhi

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5,2 katika kipimo cha Richter nchini Japan.

Nchini Japan kumeripotiwa  tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5,2 katika kipimo cha Richter katika mji wa Miyagi.

Tetemeko hilo limesikika katika umbali wa kilomita  50 na mji wa Miyagi.

Taasisi inayohusika na  utafiti wa ardhi na tetemeko nchini Japan  imesema kuwa hakuna  uhatari wa wimbi kubwa la Tsunami kufuatia tetemeko hilo katika fukwe za Japani.

Tetemeko hilo limetokea majira ya usiku.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items