Loading...

5/23/2020

Pompeo aguswa na vifo vya watu ajali ya pakistan

Nimeshtushwa na kupata majonzi makubwa baada ya kupata taarifa za Ndege kuanguka Karachi (Pakistan), Dua zangu ziende kwa waliofikwa na umauti, majeruhi pamoja na Familia zao, Marekani inasimama na Pakistan katika kipindiki hiki kigumu”-Waziri wa Mambo ya Kigeni Marekani, Mike Pompeo baada ya ajali ya Ndege inayohofiwa kuua zaidi ya Watu 80 Pakistan
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger