https://monetag.com/?ref_id=TTIb Uhamiaji yakamlisha nyimbo tatu | Muungwana BLOG

Uhamiaji yakamlisha nyimbo tatu



UONGOZI Bendi ya Idara ya Uhamiaji umesema tayari umefanikiwa kukamilisha kurekodi nyimbo tatu hadi sasa.

Akizungumza jana, kiongozi wa bendi hiyo Matei Joseph, alitaja nyimbo hizo ni Bamatta, Uhamiaji mtandao na Hongera Magufuli.

“Tuna nyimbo nyingi tulizoandaa na tumeanza na nyimbo tatu kurekodi na tutaendelea na mpango wa kuhakikisha tunarekodi nyimbo nyingi zaidi,”alisema Joseph.