Vifo vya corona vimepindukoa Elfu 90 Marekani ambapo hadi asubuhi hii wamefariki Watu 90,978, maambukizi pia yanaongezeka Marekani, ina maambukizi 1,527,664 na wamepona Watu 346,389, Uingereza ina vifo 34,636 na maambukizi 243,695 na Italia vifo 31,908 na maambukizi 225,435.