Rapa Tekashi avujisha video za Snoop Dogg akiwa na mchepuko

Vita kati ya Rapa Tekashi  na mkongwe Snoop Dogg imefikia katika hatua mbaya , baada ya Tekashi kushare video ya snoop akiwa na mchepuko

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tekashi alishare video hiyo aliyoambatanisha na maneno- " Kipindi nipo jela watu walitumia nguvu kubwa sana kuhakikisha sitoki na hata nikitoka basi nisisikike tena . Leo nimetoka wananichokonoa na baada ya kurudisha majibu wanaomba yaishe, haya sasa snoop nenda kaombe radhi kwa mkeo "

Video hiyo ambayo hata ivyo baadae aliifuta , anaonekana Snoop akiwa katika chumba na msichana , na video nyingine anaonekana akiwa anaongea nae kwenye simu .
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items