“Kuna Mashirika ya ndege yameshabook Watalii, hadi mwezi wa 8 ndege zimejaa, wanakuja kwasababu wanaujua ukweli, Tanzania ni salama, nimetoa maagizo kwa Waziri wa Maliasili na wa Uchukuzi, waruhusu ndege zije na wasiwekwe karantini, wakipimwa joto liko sawa waende wakatalii” -JPM