Watu 11 wafariki katika mlipuko uliotokea Los Angeles Marekani

Watu 11 wameripotiwa kufariki katika mlipuk uliotokea katika jumba moja mjini Los Angeles.

Taarifa zilizotolewa na "Zima Moto" zimefahamisha  kuwa  sababu zilizopelekea moto huo bado hazijajulikana.

Watu 11 ndio ambao wameripotiwa kufariki katika mlipuko huo ambao bado sababu zilizopelekea  tukio hilo bado hazijafahamka.

Maafisa watatu wa kikosi cha Zima Moto  wamejeruhiwa vikali katika  tukio hilo na kupelekwa hospitali.

Moto huo umezimwa na kikosi cha maafisa  230 wa Zima Moto, Uchunguzi umeanzishwa kubaini   chanzo cha mlipuko huo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items