Mfanyabiashara wa mavazi na muigizaji wa Bongo Movie, Wolper, ametangaza kumdhalilisha mtu aliyemtaja kwamba amemuibia shilingi milioni moja dukani kwake.
Wolper ameelza, ataposti video katika ukurasa wake inayomwonyesha akifanya kitendo hicho iwapo hatarejesha pesa hizo ndani ya siku mbili.
Tukio hilo lilojiri Mei 15, Wolper ameeleza ameibiwa fedha hizo na mtu aliyejifanya mteja alipokwenda dukani kwake ‘HOUSE OF STYLISH’ lililopo maeneo ya Sinza jijini Dar es salaam akidhaniwa kuwa mnunuzi wa bidhaa (nguo) kumbe hakuwa na lengo hilo na badala yake akaiba kiasi hicho cha pesa.
Wolper anasema amemgundua mwizi huyo kupitia katika CCTV CAMERA alizozifunga dukani hapo ingawa amekiri hapo awali alimdhania MTU mwingine.
Aidha, ametoa siku mbili kwa mtu huyo kurejesha fedha hizo na kama hatofanya hivyo basi atamposti kwenye ukurasa wake ili watu wamfahamua kama ni mwizi.