Ajali ya moto yaua mmoja na kutelekeza mali za dukani


Mtu mmoja amefariki dunia kwa ajali ya moto katika Mtaa wa Sanawari kata ya Sekei Jijini Arusha.

Moto huo ambao uliwaka majira ya saa nane usiku wa kuamkia leo umeteketeza mali zote zilizokuwa katika duka la nyumba hiyo.

Mpaka sasa jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la la Zimamoto na Uokoaji ngazi ya mkoa linaendelea kuchunguza chanzo halisi cha moto huo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items