Serikali ya Uturuki imekemea vikali shambulizi dhidi ya sanamu la Baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk mjini Washington.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Uturuki Hami Aksoy amejibu kwa taarifa ya maandishi kuhusu kitambaa cha kufanyia usafi kilichotungikwa kwenye sanamu la Baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk mjini Washington.
Tukio hilo limetokea mbele ya jengo ambalo kunaptikana ubalozi wa Uturuki mjini Washington nchini Marekani.
Kitendo hicho kimekemewa vikali.
Aksoy amekumbusha kuwa Mustafa Kemal Atatürk ndio muanzilishi wa Jamhuri ya Uturuki na ni kiongozi muhimu katika Histoira ulimwenguni.
Taarifa iliotolewa kuhusu tukio hilo imefahamishwa kwamba ubalozi wa Uturuki mjini humo Washington umewakilisha ombi lake kwa mamlaka husika ili watu walioendesha tukio hilo wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria.