Visa vya virusi vya corona vyafikia 457 Uganda


Wizara ya Afya imerekodi visa vipya 40 vya COVID19 nchini humo na idadi ya maambukizi hadi sasa ni 457, Wagonjwa wapya wote ni raia wa Uganda

Wagonjwa 23 kati yao ni madereva wa malori waliotokea Sudan Kusini (20), Tanzania (2), na mmoja aliyeingia nchini humo kupitia mpaka wa Padea, na wengine ni watu waliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari wamethibitishwa

Wizara pia imesema madereva 31 ambao ni Wakenya-19, Watanzania-11 na mmoja kutoka Eritrea walikutwa na maambukizi ya #CoronaVirus na kurudishwa katika nchi zao

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items