Loading...

7/01/2020

Asha Boko: Tulivamiwa na Majambazi Mume wangu wakamuua


Mchekeshaji Asha Boko ameelezea jinsi anavyopambana na kazi yake ambayo imekuwa ikimsaidia kulea na hata kusomesha Watoto wake wawili alioachiwa na Mumewe ambaye amefariki kwa kuuawa na Majambazi ambao walivamia nyumba yao.

“Tulivamiwa na Majambazi Mume wangu wakamuua, nikapangisha nyumba ya Kimara ili wanangu wasome, sasa hivi nimejenga Bagamoyo"- Asha Boko
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger