Jul 30, 2020

Bernard Morrison akamatwa na Polisi

Staa wa Yanga SC raia wa Ghana Bernard Morrison akamatwa na Polisi wa doria leo mchana jijini Dar es Salaam na kufikishwa Kituo cha Polisi Oysterbay na kisha kuachiwaMorrison inadaiwa kuwa aligoma kukaguliwa na askari hao katika gari lake alilokuwa amepark.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger