Loading...

Jul 6, 2020

Breaking: Rais Kenyatta aondoa marufuku ya usafiri Nairobi, Mombasa na Mandera


Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameondoa kwa muda masharti ya usafiri wa kuingia na kutoka katita miji ya Nairobi, Mombasa na Mandera kaskazini mwa nchi.

Katika hotuba ya ke kwa taifa kuhusu mwenendo wa maambukizi ya virusi vya corona rais Kenyatta amesema hatua ya kufungua miji hiyo mitatu ''inawaweka Wakenya'' katika hali hatari na hivyo basi naomba tuwe waangalifu.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger