Esma: Mama wawili na mume wa tatu, mungu atupe mwisho mwema

Dada msanii Diamond Platinum Esma Platnumz ameendelea kugongelea msumari na kuonesha ni mwenye furaha katika ndoa yake hiyo ambayo amefunga siku za hivi karibuni,

Licha ya kuwepo kwa maneno mengi yanayotolewa na watu kuwa ameolewa mke wa tatu Kumfanya Kaka Wa ESMA PLATNUMZ Ricardomomo Kusema Kuwa Wanaomsema ESMA Waolewe Wao Ata Ndoa Ya Mume Wa Mke Mmoja Ndio Waje Kumsema ESMA PLATNUMZ

Kupitia Ukurasa Wa Instagram Wa ESMA Amepost Picha Akiwa Na Mume Wake Na Kusindikizia Na Caption I ayosomeka ''Mama Wawili na Mume wa3 aka Okonkwo 😋'' Na Kisha Akamtag @msizwalounge'' Ambaye Ni Mume Wake

''Mungu akatupe Mwisho mwema tuzikane Inshallah my Best Friend My Mume 👫'' ESMA PLATNUMZ