Godwin Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke



Rais Magufuli amemhamisha kituo cha kazi aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe ambapo sasa anakwenda kuwa mkuu wa wilaya ya Temeke, akichukua nafasi ya Bw. Felix Jackson ambaye amestaafu
.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items