JPM " nimekusamehe nitakutafutia kazi nyengine"



Kabla ya kuteuliwa na JPM kuwa RC wa Kigoma leo, Thobias Andengenye aliwahi kuwa Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kisha uteuzi wake ukatenguliwa Jan 23, 2020, baadaye June 11,2020 JPM akatangaza kumsamehe na kuahidi kumtafutia kazi nyingine.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items