Juliana Didas Masaburi ashinda kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum(Vijana) Mkoa wa Mara

Mshindi wa kura za maoni CCM Ubunge Viti Maalum(Vijana) Mkoa wa Mara ni Juliana Didas Masaburi mwenye kura 36 kati ya kura 38 zilizopigwa, nafasi ya pili imeenda kwa Beatrice Mseti mwenye kura 2 na waliobaki hawajapata kura hata moja, wagombea walikuwa 14.