Jul 10, 2020

"Kazi haikuwa rahisi, nawashukuru ambao hamjanipigia kura" - Dkt Mwinyi


“Nawashukuru kwa kura tena nyingi 129,nawashukuru ambao hamjanipigia kura pia ndio Demokrasia, sasa hakuna tena Team Mwinyi wala Team nyingine tuungane, kazi haikuwa rahisi nimefanya mitihani mingi ila huu ulikuwa mgumu zaidi, najua kuna kazi kubwa mbele, Mungu atatulinda”-MWINYI
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger