Magufuli endelea kufinya, usipunguze spidi- Lowassa


Hakuna ubishi toka umechukua Nchi inakwenda vizuri sana, hakuna ubishi yale mambo waliyosema hayawezekani sasa yanawezekana chini ya uongozi wako, hakuna ubishi nchi imetulia na inakwenda kwa spidi nzuri sana, tunakuomba uendelee kufinya, spidi isipungue iendelee vilevile kama ilivyoanza" -: Edward Ngoyai Lowassa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania